Afghanistan

‘Nilipoolewa, nililia’

Wakopeshaji wakimhimiza kwa nguvu, mamake aliye mjane, Babogai mwenye umri wa miaka 11 ghafla aliiona maisha yake yakibadiulika kutoka mtoto anaeuza kuni na makaratasi kusaidia familia yake, kuwa mke kijana aliyeghadhibika kutokana na dhamana aliyokua nayo na majukumu kutokana na matarajio ya mumewe na familia ya mumewe. Amerudi nyumbani miezi miwili iliyopita na kuendelea kuuza makaratasi yaliyotumiwa kwa afghanis 10 au 20.

Chapisho:

Jina langu ni Babogai, Nina umri wa miaka 11.

Nimeolewa kwa miezi sita.

Kabla ya kuolewa, niliokota makaratasi yaliotumika ili niuze tukiwa na mama yangu. Yeye ni mgonjwa.

Hivyo ndivyo nilijipata hapa. Baba yangu aliuwawa shuja.

Baada ya kuuwawa kwa baba yangu katika jimbo la Hemland, tulihamia hapa.

Mama yangu alikopa pesa kwa watu amabo baadaye walikuja kunichukua.

Hatuna mtu yeyote.

Huyu ni ndugu yangu mkubwa na huyu ni mama yangu.

Tulikuwa na deni la kulipa. Mama yangu alibidi kunitoa kwa watu hao ili kulia deni hilo.

Nilikua nina lia sana. Nilimtaka mtu anisaidie, lakini sikua na njia nyingine. Wakopeshaji walishinikiza kwa nguvu.

Hapo tena kila mtu alimuambia mama yangu, ‘kama huna pesa za kuwalipa, basi wape binti yako badala yake.’

Nilipoolewa, nililia sana.

Miezi miwili iliopita, nilirudi kwa mama yangu.

Familia ya mume wangu ilinifanyinsha kazi nyingi. Lakini ni mambo ambayo sikujua kufanya.

Kwa sababu ya hiyo, nimerudi hapa. Mama yangu ananifunza kufanya hizo kazi.

Maisha yangu yamerudi ilivyokua awali. Nilikuwa natoka nje asubuhi au adhuhuri kutafuta kuni au karatasi zilizotumika.

Hata siku ya harusi yangu, nilikuwa naokota vyuma na makaratasi. Nilikua ninaziuza kwa kati ya afghani 10-20 (sawa na centi 26 za dola). Kuna siku ambazo sikupata hata centi moja.

Kila ninapopata fedha kidogo, ninanunulia familia chakula.

Nikileta mkate wanakula. Nisipoleta kitu, wanabaki na nja na kiu.

Sisi huwafanyia wengine kazi. huku tukijipatia jumlaya afghani 20 hadi 50.

Nina matatizo ya kupumua. Wakati wa baridi, ninashindwa kupumua.

Baridi ikiwa kali, siwezi kupumua. Inanibidi kulala chini. Kisha nina kereka najihisi ninachomeka ndani, kama vile moyo wangu unachomeka.

Mtizamo wa Kimataifa

Asilimia ya wanawake wanaoolewa chini ya umri wa miaka 18
10% 20% 30% 40% 50% 60%
Ramani

Marekani

6.2

Namba ya watoto walioolewa kwa kila watoto elfu moja, wenye umri kati ya miaka 15-17

(That's about .6%
of 15- to 17-year-olds .)

The term ‘child marriage’ is used to refer to both formal marriages and informal unions in which a girl or boy lives with a partner as if married before the age of 18. An informal union is one in which a couple live together for some time, intending to have a lasting relationship, but do not have a formal civil or religious ceremony. The main sources of such data are national censuses and national household surveys, predominantly the Multiple Indicator Cluster Surveys (MICS) and Demographic and Health Surveys (DHS).

In 2003, UNICEF and partners agreed to focus on five indicators:

  • Percentage of women 20 to 49 first married or in union by age 15 and 18, by age group
  • Percentage of girls 15 to 19 years of age currently married or in union
  • Spousal age difference
  • Percentage of women currently in a polygynous union, by age groups
  • Percentage of ever-married women who were directly involved in the choice of their first husband or partner.