Asilimia ya wanawake wanaoolewa chini ya umri wa miaka 18

10% 20% 30% 40% 50% 60%

The term ‘child marriage’ is used to refer to both formal marriages and informal unions in which a girl or boy lives with a partner as if married before the age of 18. An informal union is one in which a couple live together for some time, intending to have a lasting relationship, but do not have a formal civil or religious ceremony. The main sources of such data are national censuses and national household surveys, predominantly the Multiple Indicator Cluster Surveys (MICS) and Demographic and Health Surveys (DHS).

In 2003, UNICEF and partners agreed to focus on five indicators:

  • Percentage of women 20 to 49 first married or in union by age 15 and 18, by age group
  • Percentage of girls 15 to 19 years of age currently married or in union
  • Spousal age difference
  • Percentage of women currently in a polygynous union, by age groups
  • Percentage of ever-married women who were directly involved in the choice of their first husband or partner.
Ramani

Nchi zenye kiwango cha juu kabisa cha ndoa za utotoni

Kwa mujibu wa ripoti ya UNICEF 2017, nchi zenye kiwango cha juu kabisa cha ndoa za utotoni chini ya miaka 18 ni:

NchiWanaoolewa wafikiapo miaka 18
Niger76%
Jamhuri ya Afrika ya Kati68%
Chad67%
Bangladeshi59%
Mali52%
Sudan Kusini52%
Bukinafaso52%
Gine51%
Msumbiji48%
Somalia45%

Chagua nchi kufahamu jinsi inavyolingana na eneo hilo

Marekani

6.2

Namba ya watoto walioolewa kwa kila watoto elfu moja, wenye umri kati ya miaka 15-17

(That's about .6%
of 15- to 17-year-olds .)