VOA

Miaka 30 ya medali za Olimpiki

Olimpiki ya Kipindi cha Joto 2024 inafanyika Paris huku kukiwa ukakasi wa suala la mazingira, siasa na harakati za ushindani

Mamlaka za Kikanda zimetumia dola bilioni 1.5 kusafisha Mto Seine kwa matumaini ya kuutumia kama ni eneo la mashindano ya kuogelea. Meya wa Paris Anne Hidalgo imepangwa kuongelea katika mto kabla ya michezo hiyo lakini mashindano yameahirishwa kwa mwezi mmoja.

Paris Olimpiki inahusisha zaidi ya wanariadha 10,000 kutoka nchi zaidi ya 200 na baadhi ya timu za Olimpiki

wataleta viyoyozi vyao nchini Paris, ikirudisha nyuma juhudi za Ufaransa za kukata uchafuzi unaotokana na hewa ya Carbon. Wachambuzi wa kandanda wanatabiri kuwa Marekani itachukua medali zaidi, lakini China iko karibu katika ushindani huo Kushinda medali zaidi za dhahabu

Explore how various countries have performed in the past 15 Olympics.

Bofya katika nchi chini kutanua jedwali za medali kwa miaka kadhaa

Inaashiria Olimpiki wakati wa baridi

Notes

Maandishi

Majina yanayo tumika ya timu za Kamati ya Olimpiki katika ukurusa huu yanatolewa moja kwa moja kutoka VOA inatumia maneno kama yalivyo kwa ajili ya usahihi na kutobadilika.

TPE Beijing inaruhusu timu za Taiwan kushindana kimataifa tu iwapo zitakuwa hazitumii majina - au bendera - ya Taiwan

Russia Takwimu za medali ya Olimpiki zilizo orodheshwa katika ukurasa huu ni kuonyesha takwimu za kihistoria kabla ya vikwazo vya IOC.

Wanariadha wa kujitegemea kutoka Russia Wanariadha wa Russia wanaoshindana kwa kutumia bendera ya Olimpiki

Watu ambao hawawakilishi nchi zao

Wanariadha wa Kuwait wanaoshindana kwa kutumia bendera ya Olimpiki

Vyanzo/inatokana

Edin Beslagic & Stephen Mekosh
Uundaji wa tovuti na uendelezaji wake
IOC (International Olympic Committee)
Takwimu za kihistoria