Marais wa Afrika wamekaa madarakani kwa muda gani?

Afrika ina viongozi ambao wamekuwa madarakani kwa muda mrefu sana. Viongozi kama Teodoro Obiang Nguema na Jose Eduardo dos Santos wamekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 sasa.

Ni bara la mabadiliko pia. Kote Afrika, marais 25 wameshikilia madaraka kwa miaka mitano au chini. Marais 12 wameingia madarakani katika miaka miwili iliyopita.

Tumia ramani hii kuangalia ni muda gani kila rais ameshikilia madaraka.

 

Mradi huu ulifanyiwa utafiti na kutayarishwa na:
Salem Solomon, Mzalishaji Mtandao, Sauti ya Amerika
Casey Frechette, Professor Msaidizi, University of South Florida St. Petersburg
Decade Office Was Assumed

Click or tap a decade to update the map. Click again to reset.

'70s '80s '90s '00s '10s

Kwa idadi

10.29

The average number of years sitting African presidents have held office

36

The number of years Africa’s longest-serving sitting president, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo of Equatorial Guinea, has held office

25

The number of African presidents who have served for five years or less

65

The average age of sitting African presidents

Urefu wa awamu

Click or tap the column names to re-sort the data. Click or tap an entry for details.

Year Office Assumed
Country
1979 
Equatorial Guinea - Teodoro Obiang Nguema Mbasogo
1979 
Angola - José Eduardo dos Santos
1982 
Cameroon - Paul Biya
1979 - 92 
1997 
Republic of Congo - Denis Sassou Nguesso
1986 
Uganda - Yoweri Museveni
1987 
Zimbabwe - Robert Mugabe
1989 
Sudan - Omar al-Bashir
1990 
Chad - Idriss Déby
1991 
Eritrea - Isaias Afwerki
1994 
Gambia - Yahya Jammeh
1975 - 91 
2011
 
São Tomé and Príncipe - Manuel Pinto da Costa
1999 
Djibouti - Ismaïl Omar Guelleh
1999 
Algeria - Abdelaziz Bouteflika
2000 
Rwanda - Paul Kagame
2001 
DRC - Joseph Kabila
2004 
Seychelles - James Michel
2005 
Togo - Faure Gnassingbé
2005 
Burundi - Pierre Nkurunziza
2006 
Liberia - Ellen Johnson Sirleaf
2006 
Benin - Thomas Boni Yayi
2007 
Sierra Leone - Ernest Bai Koroma
2008 
Botswana - Ian Khama
2009 
South Africa - Jacob Zuma
2009 
Mauritania - Mohamed Ould Abdel Aziz
2009 
Gabon - Ali Bongo Ondimba
2010
 
Ivory Coast - Alassane Ouattara
2010
 
Guinea - Alpha Condé
2011
 
Niger - Mahamadou Issoufou
2011
 
Comoros - Ikililou Dhoinine
2011
 
South Sudan - Salva Kiir Mayardit
2011
 
Cape Verde - Jorge Carlos Fonseca
 
2015
 
Nigeria - Muhammadu Buhari
2012
 
Senegal - Macky Sall
2012
 
Ghana - John Dramani Mahama
2012
 
Somalia - Hassan Sheikh Mohamud
2013
 
Kenya - Uhuru Kenyatta
2013
 
Mali - Ibrahim Boubacar Keïta
2013
 
Ethiopia - Mulatu Teshome
2014
 
Central African Republic - Catherine Samba-Panza
2014
 
Madagascar - Hery Rajaonarimampianina
2014
 
Malawi - Peter Mutharika
2014
 
Egypt - Abdel Fattah el-Sisi
2014
 
Guinea-Bissau - José Mário Vaz
2014
 
Tunisia - Beji Caid Essebsi
2015
 
Mozambique - Filipe Nyusi
2015
 
Zambia - Edgar Lungu
2015
 
Namibia - Hage Geingob
2015
 
Mauritius - Ameenah Gurib
2015
 
Tanzania - John Magufuli
2015
 
Burkina Faso - Roch Marc Christian Kaboré

Kwa nini baadhi ya nchi hazipo hapa?

Morocco, Lesotho na Swaziland ni nchi za kifalme na hazina marais. Serikali ya Libya, kwa sasa, iko katika mvutano. Kwa jumla, viwango vilivyotumiwa kwa nchi kuingia katika orodha hii vimetokana na taasisi ya  Africa Check.