Afrika ina viongozi ambao wamekuwa madarakani kwa muda mrefu sana. Viongozi kama Teodoro Obiang Nguema na Jose Eduardo dos Santos wamekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 sasa.
Ni bara la mabadiliko pia. Kote Afrika, marais 25 wameshikilia madaraka kwa miaka mitano au chini. Marais 12 wameingia madarakani katika miaka miwili iliyopita.
Tumia ramani hii kuangalia ni muda gani kila rais ameshikilia madaraka.
Click or tap a decade to update the map. Click again to reset.
'70s '80s '90s '00s '10sThe average number of years sitting African presidents have held office
The number of years Africa’s longest-serving sitting president, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo of Equatorial Guinea, has held office
The number of African presidents who have served for five years or less
The average age of sitting African presidents
Click or tap the column names to re-sort the data. Click or tap an entry for details.
Morocco, Lesotho na Swaziland ni nchi za kifalme na hazina marais. Serikali ya Libya, kwa sasa, iko katika mvutano. Kwa jumla, viwango vilivyotumiwa kwa nchi kuingia katika orodha hii vimetokana na taasisi ya Africa Check.